VOA Express - Voice of America

VOA Express - Voice of America

VOA

VOA Express ni matangazo mapya yenye mwendo wa kasi yakiangalia habari mpya za mchana na maelezo ya maswala yanayohusu vijana na wanawake. Matangazo haya yanafuatilia habari zilizojitokeza nyakati za mchana na ripoti za kina za habari ambazo hazisikiki sana katika matangazo mengineyo.

Categories: News & Politics

Listen to the last episode:

VOA Express pia inafuatilia kwa karibu sana maswala yanayovuma katika mitandao ya kijamii kama sehemu moja muhimu ya upashanaji habari siku hizi.

Previous episodes

  • 2250 - Mdau anayehusika na haki za binadamu Tanzania anazungumza vipi kuhusu suala la ongezeko la visa vya ubakaji nchini humo? - Agosti 06, 2024 
    Tue, 06 Aug 2024
  • 2249 - Dunia yaendelea kuadhinmisha wiki ya Kimataifa ya Unyonyeshaji wa watoto. - Agosti 05, 2024 
    Mon, 05 Aug 2024
  • 2248 - Mzazi ambaye pia ni mlezi wa watoto anaelezea jukumu la kuwaangalia wanafunzi wanapokuwa nyumbani katika kipindi cha likizo za masomo. - Agosti 02, 2024 
    Fri, 02 Aug 2024
  • 2247 - VOA Express - Agosti 01, 2024 
    Thu, 01 Aug 2024
  • 2246 - Wachambuzi wa michezo Afrika mashariki wanaelezea matumaini yaliopo kwa timu za Afrika zinazoshiriki katika Olimpiki 2024 huko Ufaransa. - Julai 31, 2024 
    Wed, 31 Jul 2024
Show more episodes

More Nigeria news & politics podcasts

More international news & politics podcasts

Choose podcast genre